Header Ads

MTOTO WA AJABU AZALIWA MWANANYAMALA

10592449_819147388106710_1739694101_n
Mtoto wa ajabu azaliwa katika hospitali ya mwananyamala jijini dar usiku wa kuamkia jana mtoto huyo anaonekana ni mwenye umbo la kobe na macho ya chura ni mtoto aliyewashangaza madaktari  na walisema madaktari hali hii inatokana na uundwaji wa mtoto pindi akiwa tumboni kwa mama yake.

Maoni 2 :